Home > Terms > Swahili (SW) > wiki takatifu

wiki takatifu

wiki kabla ya Pasaka, kuanzia na Jumapili ya Matawi (Shauku), inayoitwa "Wiki Kuu" katika ibada za Makanisa ya Mashariki. Inaalamisha maadhimisho ya Kanisa ya kila mwaka matukio ya Mateso ya Kristo, kifo, na Ufufuo, ikifikia upeo katika Fumbo la Pasaka (1169).

0
Hozzáadás a Szójegyzékemhez

Mit szeretne mondani?

Hozzászólás közzétételéhez be kell jelentkeznie.

Terms in the News

Featured Terms

edithrono
  • 0

    Terms

  • 0

    Szójegyzékek

  • 1

    Követő

Ipar/Tárgykör: Festivals Kategória: New year

azimio ya mwaka mpya

Azimio ya mwaka mpya ni ahadi ambayo mtu hufanya kwa lengo moja au zaidi ya kibinafsi, miradi, au kuleta mageuzi ya tabia. Hii mabadiliko ya maisha ...

Featured blossaries

Blossary-A

Kategória: Business   1 1 Terms

WeChat

Kategória: Technology   3 12 Terms