- Industry: Education
- Number of terms: 10095
- Number of blossaries: 1
- Company Profile:
Mahali na mandahri ambapo kusoma hufanyika; si madarasa tu bali panahusisha sifa za mahali hapo pia.
Industry:Education
Njia mbali mbali ambazo mwanafunzi anaweza kuzipendelea katika mchakato wa kusoma na kujifundisha.
Industry:Education
Dhana kwamba kusoma huendelea hufanyika zaidi ya mifumo na miundo rasimi ya kitaasisi na huendelea katika kipindi kizima cha maisha ya mtu.
Industry:Education
Katika elimu, hizi ni mbinu ambazo hufanya wanafunzi kuwasiliana na wengine au kutagusana na aina fulani ya kiteknolojia ili kupata majibu baada ya kukamilisha kazi fulani.
Industry:Education
Shughuli ambapo mwalimu husaidia vikundi vya wanafunzi kubuni na kuandika matini pamoja.
Industry:Education
Kusoma kunakofanywa na kukamilishwa na mwanafunzi binafsi bila usaidizi wa mwalimu.
Industry:Education
(Lengo la Kufundisha) Kauli inayobainisha kitu ambacho mwanafunzi anahitaji kusoma, yaani kujua na kufanya (uwezo, maarifa, tabia) kama tokeo la mafundisho.
Industry:Education
Kauli zinazoonyesha matokeo baada ya shughuli za kusoma kwa mwanafunzi; aghalabu huandikwa kutokana na kile mwanafunzi anaweza kufanya baada kipindi cha shughuli ya kusoma.
Industry:Education
Ni mchakato wa kuunda vifaa vinavyohitajika na shughuli za kusoma kwa misingi ya malengo ya kufundisha na mahitaji ya wanafunzi.
Industry:Education
Usaidizi wa kihali na mali unaopewa wanafunzi ili kuwezesha mchakato wa kusoma.
Industry:Education